Murtaza Mangungu punguza jazba unapoongea na wanachama wa Simba, akina Ngonja, Juma Salum, Dalali waliondolewa kwa staili kama yako

Unaweweseka tu, umekuwa kama sigara Kali.
 
Pole, umeandika kwa uchungu sana.
 
Watu wana uchungu na timu lakini hawajawahi kuichangia hata jero!! vinavyoelea vimeundwa!! lakini kuna watu wanataka vielee bila kuundwa!! Naona watasubiri sana!!
 
Swali langu mnieleweshe.

Mimi mwana Msimbazi au mwananchi ambae sina kweli kadi ya uanachama , hivi nikienda kila mechi kununua ticket ya timu yangu nikaiangalie (mapato ya viingilio) au mfano nikilipia kifurushi Cha azam ambao hao wameingia mkataba na Timu yangu na wanawalipa mamilioni n.k Je nakua sijaichangia timu yangu? Au mpaka niwe na kadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…