yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,409 Sep 16, 2011 #1 Ni mmoja ya watangazaji wachche nilokua nawakubali ile mbaya nilikua sikosi kipindi chake cha uswazi na super mix pale ea radio,sasa hiv sina mudi na hivo vipindi tangu alipoondoka huyo mshkaji! mwana jf anaefaham anifaamishe.
Ni mmoja ya watangazaji wachche nilokua nawakubali ile mbaya nilikua sikosi kipindi chake cha uswazi na super mix pale ea radio,sasa hiv sina mudi na hivo vipindi tangu alipoondoka huyo mshkaji! mwana jf anaefaham anifaamishe.