Musa Leonard Mdede mwenyekiti mpya TAHLISO

Musa Leonard Mdede mwenyekiti mpya TAHLISO

nyamakonge

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
363
Reaction score
131
TAHLISO sasa imepata mtu mchapakazi.kijana huyu ambae ni rais wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu Bugando CUHASSO.

Ameonesha uwezo mzuri wa kuongoza na kutetea maslahi ya wanafunzi muda mfupi toka aliposhika nyadhifa hiyo.
 
Hvi si ndio huyu aliesema Makamba ndo rais mtarajiwa, hiki chombo hua naita TAHLSO-CCM
 
jamaa yuko vizuri sana mpambanaji....kajitahidi kufanya vitu vingi hapa chuo kwa tangu alipoingia madarakani ....viva cuhaso ...viva mdede
 
huyu kijana ni mpya nadhani ataibadilisha tahlso.alipinga vikali tamko la kumkubali mh january makamba.refer makala yake kwenye mawio mwez july! ni mtu makini kiutendaji...
 
Back
Top Bottom