MuSAADA KWA HII BA MUTU!

Huwezi amini, ila ukweli ni kwamba madem dizaini hiyo wanakuaga watulivu sana kwenye mapenzi! Na akikupenda anafall kweli si utani. Tatizo ukimtokea kijinga hakawii kukuumbua mbele za watu. Ila ukim bana kwenye kona, hana ujanja. Jikaze umtokee. Akikataa si basi?
 
 
Huyo demu atakuwa SALAMA bila shaka!!
Ningeshangaa hili jina lisingetajwa kwenye hii thread...lol. Back to the topic, wengine ni maumbile tu hormones za kiume zimeongezeka kuliko za kike. Kama kampenda dawa si ni kufunguka, kama akiwa hana mpango nae basi bahati mbaya, itakuwa sio rizikiyake waswahili wanasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…