Kyodowe
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,236
- 1,368
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Raisi M7 amekataa kuteua mkuu wa idara ya taifa ya mipango na kuagiza kuajiriwa kwa wataalamu wa fani za sayansi katika wizara na idara zake ili kuweza kuchochea ukuaji wa uchumi wa viwanda.
Katika kuliweka hilo sawa M7 alisema 'Anawezaje mchumi kuandaa mpango kama hajasoma sayansi' alisisitiza m7. Mytake: 'Sijui kama nimemwelewa m7 sawasawa, lakini anawezaje mtu aliyesoma physics kwa mfano, kuandaa mpango wa maendeleo kama hana uelewa wa fani ya uchumi?
Only employ scientists for planning jobs, Uganda's Museveni