Museveni accuses ICC of mishandling Kenya cases

Museveni accuses ICC of mishandling Kenya cases

Kashishi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2010
Posts
1,142
Reaction score
635
WEDNESDAY, SEPTEMBER 25, 2013

Museveni accuses ICC of mishandling Kenya cases

EAMuseveni.jpg

Ugandan President Yoweri Museveni at a past event. He has accused the International Criminal Court of mishandling complex African matters. PHOTO/AFP

By KEVIN J. KELLEY

More by this Author
NEW YORK

The International Criminal Court is guilty of "arrogance" in its prosecution of Kenya's elected leaders, Ugandan President Yoweri Museveni declared in a speech to the United Nations in New York on Tuesday.

"The ICC, in a shallow, biased way, has continued to mishandle complex African issues," Mr Museveni said. "This is not acceptable. The ICC should stop."

"Kenya is recovering," he asserted. "Let her recover."

The Ugandan Head of State noted that many African countries had supported creation of the ICC "because we abhor impunity."

Museveni said the court has ignored African Union positions on on African matters.

He associated the ICC with "the old mistake makers" who failed to heed the anticolonial slogan of "Africa for the Africans."

"The latest manifestation of arrogance is from the ICC in relation to the elected leaders of Kenya," Mr Museveni said.

"We know the origin of the past mistakes," he assured his listeners in the UN General Assembly hall. "The ICC way is not the right one to handle those mistakes."

President Uhuru Kenyatta, his deputy William Ruto and former radio journalist Joshua Sang are facing crimes against humanity charges before the ICC.

Nation Newspaper
 
Museveni ni mtu wa ajabu sana. Sasa hivi ICC wana maombi toka nchi kama 8. Kati ya hayo maombi 8, 5 yanatoka nchi za Kiafria na Uganda ni mojawapo. Sasa, Museveni anawapinga ICC wakati huo huo anatumia mombi huko huko ICC kwa ajili ya Kony! Ni mnafiki mkubwa sana huyu Museveni.

Ingekuwa ni watu baki wamepelekwa ICC Museveni angepiga makelele kama anavyofanya sasa? Na hata hii kesi ya Uhuru na Rutto, ICC walioteshwa?
 
Huyu mu7 anazeeka vibaya sana. Eti ICC ni arrogant! Mimi nadhani yeye ndio arrogant. Ukitaka kujua hii chuki na ICC inatoka wapi, fahamu kuna m23 kama 100 wanatafutwa na ICC. Halafu rafiki na ndugu yake kagame ni possible candidate. ICC ndio jibu la viongozi dhalimu wa afrika. Ona jinsi wanavyoihofia!... Eti ICC inawaandama waafrika, kama wao ni dhalimu ICC wafanyaje sasa?
 
Tuna bahati mbaya sana Africa Mashariki, jamaa hawa ni wanafiki kweli kweli - wanacho hofia ni kugehuziwa kibao, wanajua fika kwamba tawala zao zina skeletons in the closet ndio maana wanag'ang'ania kuwa Marais 4 life au ikiwezekana wawarithishe Urais Watoto/ndugu zao, hawajiamini hata kidogo! Nikiona hizi propaganda zilizo pamba moto eti Rais au makamu wake awawezi kuburuzwa mahakamani i.e ICC kutokana na majukumu ya kuongoza nchi repeat majukumu ya kuongoza Taifa - what a lame EXCUSE! Looking back now ndio maana walikuwa radhi ku-falsify matokeo ya kura wakifikiri wakiwa madarakani hiyo tu itakuwa kinga tosha dhidi ya mashtaka yanayo wakabiri huko the Hague, si hilo tu wanafikia hatua ya kushawishi nchi za Kiafrica 50 na ushee eti zijitoe ICC kama njia ya kuwakingia kifua waharifu WAWILI as if Africa nzima ina revolved around RUTO na Uhuru - hii ina maana gani? Kama wanajua hawana hatia au hawana kitu cha kuficha kwa nini hawana ujasiri wa kwenda kujitetea, badala yake wana-invent excuses chungu mzima na kuanza kuwashtumu ma jaji wa ICC bila sababu yoyote ya msingi - au walifikiri kwa kuwa prosecutor/jaji ni Wafrica wenzao hilo tu ndio litawafanya wa mis-carry justice?
 
Hofu yangu ni kumuona "kiranja mkuu wetu" anataka kuingia huu mkenge,sijui anahofu nini?au naye kachangia kwenye hizi crimes against humanity za kung'oana kucha zinazoendelea nchini......
 
Let the ICC decide if they are innocent or guilty. M7 should stop these propaganda and speculation which might spoil the judicial process
 
judicial process?

nina amini kama ICC walitaka kuwafungulia mashtaka uhuruto kwa minajili ya haki kwa walioathiriwa, ingepaswa kufanya hivyo mapema.

NSIS walikuwa na ushaidi huo, mbeleni, kabla ya machafuko ya 07/08, mbona ICC wasitumie ushaidi walipewa kuwa fundisho kwa madikteta wengine. yapasa waliokuwa wakuu serikalini siku hizo kuwajibika na kutoa habari bila kuwa na hofu uchumi utasamabaratika.

hivi karibuni tunashuhudia makamu wa rais akiwajibika kutafuta haki kwa waathiriwa na mwezi wa novemba Rais wa kenya kaapa ataendelea kufanya kazi na ICC kutafuta ukweli kuhusu vita vya wenyewe-kwa-wenyewe ya 2008/2009, licha ya vikundi vya kutetea haki za kibinadamu kujaribu kutumia vyombo-vya-dola kujenga propaganda yao wakifadhiliwa iwe kama ushaidi kwenye mahakama hiyo...

wakati bashir alipowasili kenya kushuhudia uzinduzi wa katiba mpya, kenya ilipaswa kumkamata kama mojawapo ya vipengee vya rome statues, mbona ICC isifanye kazi na interpol, kwa mfano kumkamata. ni huu ufidhuli inayofanya wakenya kutaka kujiondoa kutoka kwa ICC.

vinginevyo, ICC haisukumwi na yeyote kuchukua hatua ya kuwafunga madikteta. yapaswa kutumuia uhuru huo huo kuwakamata madikteta kama bashir.

juzi tena, bashir kakubaliwa na marekani kupata visa kuhudhuria kongamano la umoja wa mataifa na kuipinga madai ya wamarekani kukataa kutoa visa yake, kisa na maana aliotoa ni "it was his political right to travel to the UN summit"

Je! ICC ni taasisi ya kimataifa ya kisiasa??

Marekani, wakatoa taarifa, kuwa wao sio wanachama wa ICC na hawamiliki, nguvu zezote, aidha kutoka kwa UNSC kumzuia bashir kuhudhuria kongamano kwa sababu ya war-crimes.

kama ingepaswa kenya kumkamata bashir wakati huo, sababu zetu za kufanya hivyo zingekuwa zipi?

hivi tunavyozungumza sudan kaskazini haipo chini ya mkataba wa roma, mbona ICC wasingoje bashir kuwajibika kukubali mkataba (kama kenya ilivyokubali), ndiposa wamchukulie hatua.

je, kwa mfano, shutma za ICC itakapoanza kumlalia kagame kwa kufadhili M23, itawezekana kagame kuzuiwa kuizuru mataifa kama tanzania ambao pia ni marafiki wa korti ya ICC??
 
Kikwete angekuwa ndio ana kesi huko ICC huyu mjinga M7 angeongea upuuzi huu?
 
judicial process?nina amini kama ICC walitaka kuwafungulia mashtaka uhuruto kwa minajili ya haki kwa walioathiriwa, ingepaswa kufanya hivyo mapema. NSIS walikuwa na ushaidi huo, mbeleni, kabla ya machafuko ya 07/08, mbona ICC wasitumie ushaidi walipewa kuwa fundisho kwa madikteta wengine. yapasa waliokuwa wakuu serikalini siku hizo kuwajibika na kutoa habari bila kuwa na hofu uchumi utasamabaratika.hivi karibuni tunashuhudia makamu wa rais akiwajibika kutafuta haki kwa waathiriwa na mwezi wa novemba Rais wa kenya kaapa ataendelea kufanya kazi na ICC kutafuta ukweli kuhusu vita vya wenyewe-kwa-wenyewe ya 2008/2009, licha ya vikundi vya kutetea haki za kibinadamu kujaribu kutumia vyombo-vya-dola kujenga propaganda yao wakifadhiliwa iwe kama ushaidi kwenye mahakama hiyo...wakati bashir alipowasili kenya kushuhudia uzinduzi wa katiba mpya, kenya ilipaswa kumkamata kama mojawapo ya vipengee vya rome statues, mbona ICC isifanye kazi na interpol, kwa mfano kumkamata. ni huu ufidhuli inayofanya wakenya kutaka kujiondoa kutoka kwa ICC.vinginevyo, ICC haisukumwi na yeyote kuchukua hatua ya kuwafunga madikteta. yapaswa kutumuia uhuru huo huo kuwakamata madikteta kama bashir.juzi tena, bashir kakubaliwa na marekani kupata visa kuhudhuria kongamano la umoja wa mataifa na kuipinga madai ya wamarekani kukataa kutoa visa yake, kisa na maana aliotoa ni "it was his political right to travel to the UN summit"Je! ICC ni taasisi ya kimataifa ya kisiasa??Marekani, wakatoa taarifa, kuwa wao sio wanachama wa ICC na hawamiliki, nguvu zezote, aidha kutoka kwa UNSC kumzuia bashir kuhudhuria kongamano kwa sababu ya war-crimes.kama ingepaswa kenya kumkamata bashir wakati huo, sababu zetu za kufanya hivyo zingekuwa zipi?hivi tunavyozungumza sudan kaskazini haipo chini ya mkataba wa roma, mbona ICC wasingoje bashir kuwajibika kukubali mkataba (kama kenya ilivyokubali), ndiposa wamchukulie hatua.je, kwa mfano, shutma za ICC itakapoanza kumlalia kagame kwa kufadhili M23, itawezekana kagame kuzuiwa kuizuru mataifa kama tanzania ambao pia ni marafiki wa korti ya ICC??
Mkuu wangu Kabaridi, kwani unafikiri kuna Mwafrica yeyote ambaye anataka wakina Uhuru na Ruto waonewe - hakuna; tunachotaka ni kuona sheria inachukua mkondo wake bila ya kulazimisha mambo, hii itasaidia sana kuwashtua Viongozi madikiteita wa Kiafrica wanao run nchi zao kama mali ya UKOO - mtu usitegemee Breed hiyo ichangamkie masuala ya ICC, kwao ICC ni mwiba wakipata upenyo wakujitoa uwana chama wa ICC watafanya sherehe mwaka mzima - tukubali tusikubali baadhi ya Watawala wa Kiafrica ni janga, bila ya kuwashikilia carrot na fimbo tutaumia sana. Back 2 the point, mimi sioni sababu ya akina Uhuru na Ruto kuogopa kwenda kijibu mashtaka huko the Hague, kama wako clean kuna haja gani ya kuogopa au kutafuta visingizio visivyo na mantiki, kwanza mawakili wao wanaonekana ni Pro kabisa. Mimi nawashauri wahachane na ngojera za akina M7 na PK, when worst comes 2 worst I can assure U jamaa hawa wataingia mitini na kuwahacha wakina Uhuru na Ruto licking their wounds - nilisha wasoma sana jamaa hawa, mambo yao ni irratic sana hawana urafiki wa kudumu wana permanent interest basi - wana emulate Uncle SAM to the letter. Siku moja nilimuona mama huyu Prosecutor wa ICC amekasirika kutokana na kauli za akina M7 na mwezake! She was visibly annoyed kutokana na maneno ya jamaa hawa ambao wakati mwingine usema bila ya kutafakali mambo like unguided missiles, mkuu Kabaridi sasa wakianza kumkorofisha mama huyu ambaye ana uwezo wa kuziba mianya yote ambayo wakina Ruto na Uhuru wanaweza kujinasua, unategemea viongozi hao watakuwa wageni wa nani? Hivi viongozi wenu wana amini kwamba M7 ana ubavu wa kwenda the Hague na kuwatetea wakina Uhuru na Ruto au ni michezo yao ya kuigiza. Mambo mengine bwana unaweza kuamini kwamba M7 ndie alikuwa anamchomea utambi Kony aburuzwe mahakamani the Hague, ukija suala la Kony hapo M7 ICC anaitambua sana lakini akija mtu baki anaona ICC si mali kitu - wako highly unpredictable like Mosoon Winds.
 
Bukyanagandi Mkuu

visibly madam bensouda, seems annoyed and frustrated, because the foundation of case is getting complicated. Ameshindwa ku link physically uhuru na ruto pamoja na madai ameleta mbele ya mahakama na anatafuta njia mbadala ya kumaintain a ‘moral-case' kwenye hizi kesi wakati ulimwengu na watu wametambua kesi hizi kwanza zina sambaratika kwa kukosa ushahidi. Haya yanapojiri mwenzako is shaken somewhere staring at a government shutdown.............
besnouda amekuwa na nafasi nzuri, to gather evidence since 2008/07 but she wants the space to keep on creating criminals while at the same time seeking to continue adding more witnesses without being kept in check by the same court. Mambo haya yanadhuru misingi ya umoja wa kenya.
Lakini nina furaha kwamba mambo haya ni utangulizi ya kesi kuporomoka.
Swali lingine ni kwa nini wasiendelee na ku prosecute the cases tujue ukweli without trying to hang-on onto propaganda. That is why a commission of inquiry should be prepared, by the ICC kufanya OTP kuwa accountable kwa sababu ICC na handlers wake nchini wameingia kwenye love-hate phase.

Why is bensouda still crying and all the time kuhusu government interference/sabortage..... it has been the same song since wakati wa kesi za muthaura na wengine. kwanini wasituonyeshe ni nn wanafanya kuzuia jambo hili kutokea mara-kwa-mara. Huku vyombo vya dola vikiburuzwa kupeperusha mambo haya thinking wanasaidia, they only serve to facilitate the success of the day-to-day war-mongers kwa kuleta a divisive amnesia nchini

baada ya vita vya dunia vya kwanza na vya pili, ni hatua gani ilichukuliwa to apprehend the criminals of the world war...there is a great divide kati ya vita na amani na pia bensouda ni moja wa wale slaves of war-mongers. War mongers (4) have all the say kwenye UNSC.... wacha tuzingatie atafikia wapi!>. hii ikiwa sababu kuu waisreali na marekani walijitoa kwenye mkataba huo na pia nikuhakikishie hakuna litakalotendekea Kony atakapokamatwa na ICC.

Hivi karibuni nimesikia watu wakitajana brother! Brother!...nitamalizia nikitoa a biblical case ya mandugu kumi na wawili waliouza ndugu yao kule misri kwa centi thelathini na akawa right hand man wa pharaoh... but walipokutana miaka za usoni, bado walitambulishana kama mandugu.
 
Back
Top Bottom