Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Museveni amekataliwa na chama chake NRM kubadilisha katiba ili serikali iwe na mamlaka ya kunyakua ardhi toka kwa watu kimabavu.
Wabunge wa CCM jifunze kutoka kwa hawa wenzenu.. maana mnashabihiana

Nasikia harufu ya ukweli kwa mbaaali hapaUkiona wamempinga basi ujue wanachama wa chama chake wengi ndio wamiliki wa ardhi hivyo wanajua hiyo sheria itawaumiza wao pia.