Museveni akataliwa na chama chake kubadirisha Katiba

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Rais Museveni amekataliwa na chama chake NRM kubadilisha katiba ili serikali iwe na mamlaka ya kunyakua ardhi toka kwa watu kimabavu.
Wabunge wa CCM jifunze kutoka kwa hawa wenzenu.. maana mnashabihiana
 
Reactions: BAK

Ukiona wamempinga basi ujue wanachama wa chama chake wengi ndio wamiliki wa ardhi hivyo wanajua hiyo sheria itawaumiza wao pia.
 
Madikteta uchwara ndivyo walivyo! Na wakati huo huo yeye anaendelea kukwepa kulipa kodi pamoja na mshahara wake kuwa zaidi ya milioni 400 kwa mwaka.

Nitaweka salary slip yangu ya mshahara wa 9.5 million kwa mwezi hadharani! Salary slip imeota mbawa!

Rais Museveni amekataliwa na chama chake NRM kubadilisha katiba ili serikali iwe na mamlaka ya kunyakua ardhi toka kwa watu kimabavu.
Wabunge wa CCM jifunze kutoka kwa hawa wenzenu.. maana mnashabihiana
 
Ukiona wamempinga basi ujue wanachama wa chama chake wengi ndio wamiliki wa ardhi hivyo wanajua hiyo sheria itawaumiza wao pia.
Nasikia harufu ya ukweli kwa mbaaali hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…