Museveni apigilia msumali Ushoga - akataa kuusaini Muswada

Museveni apigilia msumali Ushoga - akataa kuusaini Muswada

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,677
MUSWADA WA USHOGA: Rais wa Uganda, Y. Museveni akataa kuusaini uwe sheria, wahanga wangefungwa maisha. Aliambia bunge, suluhisho ni maendeleo viwanda na kilimo.

mcl
 
Tuongelee habari za Nchi yako kuhusu migogoro ya wafugaji na wakulima mashoga Dar ndo usiseme umewasaidia nini??
 
Tuongelee habari za Nchi yako kuhusu migogoro ya wafugaji na wakulima mashoga Dar ndo usiseme umewasaidia nini??

...karibu > International Forum
 
Tuongelee habari za Nchi yako kuhusu migogoro ya wafugaji na wakulima mashoga Dar ndo usiseme umewasaidia nini??
...Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mungu haumbi mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.

Hata hivyo Biblia haiitaji dhambi ya ushoga kuwa ndiyo kubwa zaidi. Kila dhambi ni chukizo kwa Mungu. Ushoga ni mojawapo ya mambo yaliyoorodheshwa katika wakorintho wa kwanza 6:9-10 yatakayozuia mtu asiingie katika ufalme wa Mungu. Kulingana na Biblia msamaha wa Mungu juu ya shoga upo sawa na wa mzinzi, muabudu sanamu, muuaji, mwizi na kadhalika. Mungu tena aahidi uwezo juu ya kushinda dhambi, pamoja na ushoga, kwa wale wote watakao mwaminiYesu kristo kwa wokovu wao (wakorintho wa kwanza 6:11; wakorintho wa pili 5:17).
 
MUSWADA WA USHOGA: Rais wa Uganda, Y. Museveni akataa kuusaini uwe sheria, wahanga wangefungwa maisha. Aliambia bunge, suluhisho ni maendeleo viwanda na kilimo.

mcl
Big up museveni,haki Sawa kwa wote.
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]But his move, even if it ends up being symbolic, is a good step.
[COLOR=#999999 !important]
sailboat_6.gif
[/COLOR][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
.... suluhisho ni maendeleo viwanda na kilimo....

....maneno ya hekima haya. Vilevile ni salaam Goodluck Jonathan kinamna
 
Picha mbaya kwa rais M7 kushindwa kupitisha sheria.
Hivi mashoga wakiisha ruhusiwa kuoana je haki ya kuzaa wataidai serikali au muumba wao?
 
MUSWADA WA USHOGA: Rais wa Uganda, Y. Museveni akataa kuusaini uwe sheria, wahanga wangefungwa maisha. Aliambia bunge, suluhisho ni maendeleo viwanda na kilimo.

mcl
hivi unaelewa maana ya kukataa kusaini muswada? kiufupi Museveni amewaokoa mashoga kufungwa maisha maana kama angesaini muswada maana yake ungekuwa sheria na baada ya hapo kila shoga angeshikatiwa na kufungwa maisha
 
Back
Top Bottom