Museveni asema wanaoshinikiza 'Haki Za Mashoga' wanapoteza muda

Museveni asema wanaoshinikiza 'Haki Za Mashoga' wanapoteza muda

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
1679058490333.png
Akihutubia la Nchi hiyo jana, Machi 16, 2023, Rais Yoweri Museveni alisema vitisho vya Magharibi vya kuwekea vikwazo nchi za Kiafrika zinazopinga ushoga ni vya kinafiki kwa sababu nchi za Magharibi pia zina "tamaduni za ajabu".

Hotuba hiyo ni wakati ambapo Wabunge nchini humo wanajiandaa kupigia kura mswada uliowasilishwa mapema Mwezi huu dhidi ya LGBTQ, unaopendekeza adhabu kali zaidi kwa watu wanapjihusisha na mapenzi ya Jinsia moja
.....
Museveni says West 'wasting time' with gay rights push
President Yoweri Museveni speaking during a past press conference


Mr Museveni called gay people deviants and urged robust debate on the matterImage caption: Mr Museveni called gay people deviants and urged robust debate on the matter

Uganda’s President Yoweri Museveni has accused Western countries of imposing gay rights on African nations as lawmakers in the country prepare to vote on an anti-LGBT bill.

The bill, introduced earlier this month, proposes tougher penalties for same-sex relations in a country where homosexuality is already illegal.

It has sparked criticism from human rights groups.

In an address to parliament on Thursday, President Museveni said Western threats of sanctions to African countries opposed to homosexuality were hypocritical because the West also has some "weird cultures".

"Western countries should stop wasting the time of humanity by trying to impose their practices on other people," Mr Museveni said.

"Europeans and other groups marry cousins and near relatives. Here, marrying in one's clan is taboo. Should we impose sanctions on them for marrying relatives? This is not our job," he added.

Mr Museveni referred to gay people deviants and urged more debate on the matter.

Under the proposed law, anyone who engages in same-sex activity or who identifies as LGBT could face up to 10 years in jail.

Western governments and aid agencies working in Uganda are routinely accused of "promoting homosexuality" in the country, and have repeatedly defended the LGBT community from attacks related to their identity.

Uganda has not prosecuted anyone for consensual same-sex acts in recent years despite strict anti-gay laws.

Source: BBC
 
Huyu mzee pamoja na kuwa kwake dictator lakini bado ana mazuri yake.

Unfortunately Waafrica wapo baadhi tena waliosoma hawajajua ni nini hasa maana ya demokrasia na pia demokrasia hiyo ili iweze ku-aply ndani ya Africa inabidi sisi wenyewe tujitengenezee mifumo yetu, huwezi kutaka kuiga demokrasia ya Merikan wanakoshabikia ushoga ukataka ije na Africa kama kuiga iga tu kwamba uongozi ubadilishwe baada ya muda fulani na kwa njia fulani but usitake ku-copy kila kitu kutoka kwao.

Naungana na Mu7 ingewezekana hata Tanzania tukawa na mtu kama huyu pia nchi nyingine za Kiafrika siyo mbaya as long as anatetea maadili mema siyo hao wanaokaa kimya taifa na bara letu likiharibiwa.
 
Jiulizeni hao mashoga wamekua wanyama ni Bora turopoke hivyo ila tutengeneze njia zakukabiliana nao
 
Mwanaume unaanzaje kumtamani mwanaume mwenzako? Kuna namna umbile la mwanamke lilivyo,je halijakuvutia kabisa?....
Hao ni wagonjwa wa akili,kinatu-cost Waafrica kusubiri kitu aseme mzungu ni maradhi au siyo maradhi ndiyo na sisi tunaunga treller.

Kitu akikipenda mzungu Africa nako kinaonekana big deal.
 
Akihutubia la Nchi hiyo jana, Machi 16, 2023, Rais Yoweri Museveni alisema vitisho vya Magharibi vya kuwekea vikwazo nchi za Kiafrika zinazopinga ushoga ni vya kinafiki kwa sababu nchi za Magharibi pia zina "tamaduni za ajabu"...
Vipi huko kwenu angalau mnaweza kuleta kasheria kadogo na mkatangaza hadharani kupinga?
 
Back
Top Bottom