Uganda imeadhimisha siku ya uhuru wake leo na rais wa nchi hiyo Museveni alikagua kikosi cha jeshi na kuwahutubia wananchi wake.
Ni katika hotuba hiyo ndipo alipotangaza serikali ya nchi yake kuacha kufanya biashara na kuacha shughuli hizo kufanywa na sekta binafsi.
Ni jambo la heri kwa sekta binafsi kuula kinyume na huko nyumbani Tanzania ambapo serikali imekumbatia kila kitu na kuiacha sekta binafsi ikiwa hoi.
Kigezo kinachotumika kuiminya sekta binafsi ni rushwa na ufisadi huku kukiwa na vyombo lukuki vya dola kwa ajili ya kushughulika na rushwa
Hongera Museveni kwa kuona mbali na kuamua kuwashirikisha waganda wote katika kuujenga uchumi wa Uganda kwani uchumi wa nchi haujengwi na serikali bali raia ambao wengi wameajiriwa na kujiajiri kwenye sekta binafsi.