Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Hahaaaa siasa banana..sio mm niwaganda wanachama wa dp wamekutanika Leo nakuomba press museveni ajiuzulu kama sihivyo Mungu atamwondoa madarakani
Na habari mbaya zaidi museveni amekubali kugombea tena 2016
Hawa waafrica huko ikulu kuna nn amtakitoka...
Kagame nae kavunja katiba
Nkurynzinza nae kavunja katiba
Wahuni watupu
Na habari mbaya zaidi museveni amekubali kugombea tena 2016
Hawa waafrica huko ikulu kuna nn amtakitoka...
Kagame nae kavunja katiba
Nkurynzinza nae kavunja katiba
Wahuni watupu