Museveni is to visit Dar today for EACOP signing

There's a small matter of stealing property by wana mgambo during the invasion into Uganda territory to oust idd amin.
 
Kuna Mlazy mmoja alitudanganya kwamba mikataba zote zilikuwa zimetiwa saini mwezi uliopita.

Museveni ndo kaondoka Dar, ngoja tuone kama anakuja Lamu port....
 
Hahah kwani si tuliambiwa construction itaanza end of April!!!
Si ajabu tena signing ingine ifanyike October!
Bure kabisa
 
Bado wanatia tia masaini. Nadhani hata hio FDI tuliodanganywa kwamba imesainiwa bado haijasainiwa. Ujenzi wenyewe nadhani utaanza mwaka ujao maana hata hio FDI bado haijatiwa saini.
HAHA, poor guy, FID is not a contract, is just a decision. after the signing of these contract , IOCs are now free to start working on the project.
 
Bado wanatia tia masaini. Nadhani hata hio FDI tuliodanganywa kwamba imesainiwa bado haijasainiwa. Ujenzi wenyewe nadhani utaanza mwaka ujao maana hata hio FDI bado haijatiwa saini.
Nimemsikia leo Rais anasema watu wamechoka kusikia hizi habari yapata miaka 5 sasa kwamba wamalizie haraka mambo mengine yaliyosalia Ili Kazi ianze.

Inaonekana zoezi la kusaini mikataba bado halijakamilika
 
Hiyo road ni nzuri na muhimu zaidi kuwapita hao wapuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…