Museveni, Kagame na hayati Kabila walikuwa n vijana wa Mwalimu Nyerere hivyo Tanzania tuna maslahi mapana na mgogoro wa Congo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huko kote kuanzia Uganda, Rwanda, Congo, Rhodesia hadi South Africa sisi Tanzania ndio baba lao

Kagame na Museven wanaelewa vizuri Sana hivyo ni vema waachane na mambo ya M23

Jumapili Njema
 
Hizo ni stori zisio saidia mtanzania wa kawaida.... ni za my father was a king, so what?
 
Haya wasalimie hapo machame
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu una nionaje kweli unaona mimi ni kimaro kweli acha tuheshimiane tusivujiane heshima mimi sio mwizi au taperi pesa sio kila kitu kwangu.
 
Umesikia wapi Ukimlea mtoto wa kambo atakurudishia fadhila ukubwani?!
 
Kwahiyo Nyerere alitengeneza madikteta??
 
Huko kote kuanzia Uganda, Rwanda, Congo, Rhodesia hadi South Africa sisi Tanzania ndio baba lao

Kagame na Museven wanaelewa vizuri Sana hivyo ni vema waachane na mambo ya M23

Jumapili Njema
Ila wewe kweli ni mkurupukaji. Ukifikiri tu unakurupuka na kuandika! Unataka kuwa Premium Member?
 
Back
Top Bottom