johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hizo ni stori zisio saidia mtanzania wa kawaida.... ni za my father was a king, so what?Huko kote kuanzia Uganda, Rwanda, Congo, Rhodesia hadi South Africa sisi Tanzania ndio baba lao
Kagame na Museven wanaelewa vizuri Sana hivyo ni vema waachane na mambo ya M23
Jumapili Njema
Haya wasalimie hapo machameHizo ni stori zisio saidia mtanzania wa kawaida.... ni za my father was a king so what?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu una nionaje kweli unaona mimi ni kimaro kweli acha tuheshimiane tusivujiane heshima mimi sio mwizi au taperi pesa sio kila kitu kwangu.Haya wasalimie hapo machame
Sio madikitata wauuaji homicidal dictator ila suali linabaki Nyerere hakua dikiteta.Kwahiyo Nyerere alitengeneza madikteta??
Ila wewe kweli ni mkurupukaji. Ukifikiri tu unakurupuka na kuandika! Unataka kuwa Premium Member?Huko kote kuanzia Uganda, Rwanda, Congo, Rhodesia hadi South Africa sisi Tanzania ndio baba lao
Kagame na Museven wanaelewa vizuri Sana hivyo ni vema waachane na mambo ya M23
Jumapili Njema
Premium wanalipwa mshahara?Ila wewe kweli ni mkurupukaji. Ukifikiri tu unakurupuka na kuandika! Unataka kuwa Premium Member?