Museveni, Kikwete disagree on exports

Unajua vitu vingine inategemea unaongelea wapi (kwenye forum gani) alikuwa mwenyikiti wa AU akaalikwa kwenye mikutano ya G8 au anavyo enda UN, au uwe kwenye mikutano ya hiyo IMF, World Bank au UNCTAD, sasa wewe upo kwenye mkutano na M7, Mugabe na wanaoelekeana nao , lakini ujumbe unawatupia nchi zilizo endelea.
Unajua India wanatoza kodi kiasi gani ukiagiza gari la nje badala ya kununua Magari yao?
Je India imeendeleaje iwe wamepata mikopo ya IMF au hawakupata? si ni nidhamu ya kazi na kujituma ndipo kumewafikisha hapo.
Nchi zingine kama Rwanda, Ug Msumbiji nk wanaendeleaje wakati nao wapo kwenye hali kama yetu.
Malasyia ipo wapi sasa, tuache kujidanganya na visingizio visivyo isha , mara dollar imeshuka thamani, mara ukame, mara tatizo la umeme, mara petrol bei ilikuwa kubwa etc etc, badala ya kuongelea yale yaliopo usoni kwako.
Vitungu vinalimwa tanzania anaye export nchi jirani. wewe upo unapigia kelele tarriff na subsidies za wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…