Museveni kutembelea bandari ya Mombasa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
By Benjamin Muriuki For Citizen Digital
Published on: March 25, 2019 21:43 (EAT)




Ugandan President Yoweri Museveni is set for a two-day State visit in Mombasa starting Wednesday, March 27.

Museveni will received by President Uhuru Kenyatta at the Moi International Airport in Mombasa where the State reception ceremonies will be conducted

In a statement issued Monday evening, State House spokesperson Kanze Dena said the two leaders will then proceed to State House, Mombasa for bilateral talks.

“…they (Presidents Kenyatta and Museveni) will lead bilateral talks with their respective delegations before conducting a joint press briefing,” said Kanze Dena.

During the two-day State Visit, President Museveni, accompanied by President Kenyatta, will tour the Port of Mombasa.


https://citizentv.co.ke/news/presid...ications&utm_campaign=onesignal_notifications
 
Acha aje azuru kwenye bandari la kisasa, bandari busy zaidi ya zote ukanda huu. Najua atazungushwa kote kote, hapo Mombasa hamna aibu ndogo ndogo za kuficha ficha. Hiyo siku lazima mzee atazubaa, macho na mdomo zote wazi kabisa, na akenue hadi avue hilo likofia lake.
 
Mizigo ya Uganda lazima ipitie MOMBASA SGR ile ya majirani imekaza vyuma tumewapa Kigali.
 
Museveni.... Welcome to your Port of call
 
Slim shady is crying that this dude m7 is landlocking his country,this visit may be its strategic...
 
Museveni naona ni mtu kigeugeu sana...
Huyu jamaa niligundua hivyo kitambo sana, hua ako na ahadi nyingi Sana lakini Kwa vitendo zero... Kwa mfano hayo mafuta yaligunduliwa 2005 .... Miaka 13 imepotea hadi sasa bado hakuna hatua yoyote imefanyika kiasi cha kua anaeza akaamua kupitisha bomba S.Sudan Hadi Sudan port ..
 
Fire fighting...Juzi museveni alimtuma waziri wake sam kutesa na barua ya dharura kwa Magufuli kuhusu upitishaji wa mizigo ya uganda Dar port.
Uhuru anajaribu kujinasua kwa hilo, wanabiashara wa Uganda wamegoma kutumia SGR ya kenya..Sasa nikumtongoza mzee M7
 
Ex ameanza pole pole kumrudia mchumba wake wa hapo mbeleni baada ya kugundua kwamba mpenzi wa nyumaye hamzarii mtoto yaani ni gumba, kila wakati ni wimbo wa 'Tuta,tuta,tuta' na muda unayoyoma na hakuna kinachofanyika,kazi ni wivu na kuwaiga wengine!
 
Which one looks more serious, sending a messenger ama kuenda personally?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…