Museveni na siri ya shati jeupe

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
742
Siri tajwa hapo juu inahusika

Kwa kawaida kila mtu hupenda rangi fulani sana kuliko nyingine, inaea kua moja tuu ukatosheka au zaid ya moja, Museveni kwa miaka mingi amekua akivutiwa sana na rangi nyeupe, kokote atakapoonekana basi sharti jeupe lipo mwilini mwake icpokua mara chache sana, kama ingekua ni mtu wa chini basi tungesema analo shati moja tuu (kauka nikuvae kama... gazeti), tofauti na marais wengine wenye pamba za kila aina yeye amestik na pigo lake hilohilo miaka nenda miaka rudi, Je kunani?

Rangi nyeupe ina maana nyingi hasa katika muktadha wa mavazi, na kwa maana hiyo basi ndipo ilipo siri ya shati la rangi jeupe avaalo kila mara na pia huo ndio msimamo wake kimaana.

Maana ya kwanza; Kisiasa
Kwa kua yeye ni rais obvious pia ni mwanasiasa, nguo nyeupe ina maanisha ultraconservative yaan muhafidhina wa kiwango cha juu/mno/sana etc , na hili linaonekana kwa mazingira ya siasa za uganda hususani juu ya umri wa mabadiliko ya mgombea uraisi, hataki kuachia wengine n.k

Maana ya pili, Kiimani (ukristo) na historia ya kidini
Kibibilia nyeupe inahusianishwa na "mwangaza pia kimungu" yaani ni msafi kiimani kwa kiwango cha juu asietenda madhambi kwa wingi i.e mtume, nabii, mtumishi wa mungu etc, lkn pia chochote afanyacho au aamuacho kina mkono wa mungu au mawasiliano.kutoka kwa mungu/baraka n.k Kwa dhana hizi ni lini ataachia uongozi if he is perfect? Labda Mpaka mungu amchukue. Kikristo nyeupe inahusianishwa na neno"madonna" yani anaetokana au aliekaribu na bikira maria kiimani au kinasaba, waishio bila dhambi etc

Maana ya tatu; Kigiriki cha kale/Ancient Greeks
Wagiriki wanaimani kua kuvaa nguo nyeupe wakat wakwenda kulala ni ishara ya kuota au kutaka kuota ndoto njema, Museveni na ameadopt mafuzo mengi ya kigiriki hili ni moja icpokua yeye kamodfy kidogo licha ya kwenda kulala bas awapo macho ili awe na ufikir mzur, busara na hekima ktk mambo ni lazima uwe dressed nguo nyeupe/shati jeupe etc

Hitimisho;
Rangi nyeupe ina maana zaidi ya hizo tajwa kulingana na mataifa, mabara, rika, jinsia, mavazi n.k, Kwa kumalizia tuu nimejaribu kuonesha namna gani Museveni alivyo na atakavyong'ania madaraka yeye na familia yake kwa Kuhusianisha na shati la tangi nyeupe, uchambuz huu ni huru na unaruhusu mjadala ya kinidhamu chini ake,

Writer: Best Random
 
Ramli chonganishi , huwezi andika andiko zuri hivi, kisha usiweke hata picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…