Museveni ni dikteta mpuuzi, ona Besigye arejeshwa gereza la Luzira

Museveni ni dikteta mpuuzi, ona Besigye arejeshwa gereza la Luzira

Dkt Besigye alirejeshwa katika gereza la Luzira lakini sasa kwa amri ya Mahakama Kuu. Sio tena Mahakama ya Kivita. Huenda hayuko Luzira kwa haki lakini sasa yuko huko kihalali. Ifuatayo,


View: https://youtu.be/SGaQcn-bQaY?si=K-gNiSr5-RhWARsk

Kwa Siasa za Africa si ajabu ukaja kugundua kumbe Basigeye ni Mtu wa Mseven na kwamba hizo ngonjera zote ni mambo ya Kazi tu. Ni Job Description.

Akiwa Lumande anapiga simu, anakunywa Supu only that asiwe anaoga na ndevu asinyoe ili afanane fanane na ukweli.
 
Kinachomuuma Museveni, Byesigye alikuwa daktari wake, kwa hiyo anajua kibamia chake na masaburi yake, maana alikuwa anamchoma sindano
Kumbe? Kwa hiyo Basigenye ni Tisss wa Uganda au sio?
 
Back
Top Bottom