britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mweee😔Besigye anateswa kama Samia anavyomtesa Mzee Slaa.
Kwa Siasa za Africa si ajabu ukaja kugundua kumbe Basigeye ni Mtu wa Mseven na kwamba hizo ngonjera zote ni mambo ya Kazi tu. Ni Job Description.Dkt Besigye alirejeshwa katika gereza la Luzira lakini sasa kwa amri ya Mahakama Kuu. Sio tena Mahakama ya Kivita. Huenda hayuko Luzira kwa haki lakini sasa yuko huko kihalali. Ifuatayo,
View: https://youtu.be/SGaQcn-bQaY?si=K-gNiSr5-RhWARsk
Kumbe? Kwa hiyo Basigenye ni Tisss wa Uganda au sio?Kinachomuuma Museveni, Byesigye alikuwa daktari wake, kwa hiyo anajua kibamia chake na masaburi yake, maana alikuwa anamchoma sindano