#COVID19 Museveni: Tumeamua kufunga mipaka yote kwa sasa baada ya mgonjwa wa kwanza wa corona kubainika

#COVID19 Museveni: Tumeamua kufunga mipaka yote kwa sasa baada ya mgonjwa wa kwanza wa corona kubainika

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
“Tumeamua kufunga mipaka yote kwa sasa baada ya mgonjwa wa kwanza wa corona kubainika, iwe ni usafiri wa anga,majini au ardhini baki hukohuko kwenu, hatumkomoi Mtu ila tunajikinga, ndege zote kutoka nje zisitue kwenye Airport yoyote Uganda, baadae leoleo nitatoa matamko zaidi mbele ya Wanahabari”- Rais Museveni wa Uganda
.
Sasa tumezungukwa na sisi ndiyo hatujafunga mipaka yetu.
FB_IMG_1584876383902.jpeg


In God we Trust
 
"Tumepoteza matumaini ya kulidhibiti janga hili, tayari tumeshakufa kimwili na kiakili na majibu yote duniani yamekwisha, Tumaini la mwisho lililobaki litatoka angani tu Mbinguni."

#Giuseppe_Conte
Waziri Mkuu wa Itally
[emoji57][emoji57][emoji57] View attachment 1395921
FB_IMG_1584880193564.jpeg


In God we Trust
 
Back
Top Bottom