Vita so maneno ha ha ha hamtaaminiSi kwa ubaya Kenyan civialians alone have more weapons than the Ugandan Military nothing brings Kenyans together than an outsider interference Fam .....utaskia 20mn kenyans wanasign up KDF KWS KP AP NYS kupigania inchi ndio watuwatajua Kenya ni moto ya Mbali Buda!
Utalala wapi wakati tumeshajua wakenya mnaishi kwenye slam [emoji30] [emoji30]Sasa Tanzania inapea nani sleepless nights....LDC inashtua nani
Chang'aa imekubali kwenye network yake achana naye!Bila kuitaja Tanzania Haupati Usingizi eti!!
Tuwaonee wivu ninyi kwa wizi wenu au lipi!!?
Inasikitisha kwa kweliUtalala wapi wakati tumeshajua wakenya mnaishi kwenye slam [emoji30] [emoji30]
halafu utakuta ni waiter hapo kariakooBila kuitaja Tanzania Haupati Usingizi eti!!
Tuwaonee wivu ninyi kwa wizi wenu au lipi!!?
British citizen have more weapon,nyie mna machete na marungu tu,bado mmetawaliwa nyangau nyinyi.this era you still thinking about mau mau,hao wasomali tu hapo wanawatoa jasho,si tuko na wasomali hapa na wako kabla hata ya kuanza vita ya wenyewe kwa wenyewe centuries,Si kwa ubaya Kenyan civialians alone have more weapons than the Ugandan Military nothing brings Kenyans together than an outsider interference Fam .....utaskia 20mn kenyans wanasign up KDF KWS KP AP NYS kupigania inchi ndio watuwatajua Kenya ni moto ya Mbali Buda!
Kila uchaguzi ukikaribia, wagombea uraisi wa Malawi wanaanzisha agenda ya ziwa ili kupata kura za ulaghai. Its only a crazy person who can comply with such a stupid argument.Ramani huwa zinaonyesha mpaka kati ya Malawi na Msumbiji huwa pasu, lakini kwenu upo kwenye fukwe.
Hata kenya wanasema Mlima Kilimanjaro ni wao
kwani uwongo, huo mkoa wote wa Kilimanjaro vya kwetu, na ndio maana unaona watu wenye asili ya pale ndio nguzo la uchumi Tanzania, ndio wamebeba uchumi wenu maana wana vinasaba vyetu.
Kwikwikwikwi. Hebu uliza tofauti na Dar mji unaofuata kwa uchumi ni mji gani!!? Kilimanjaro sijui kama ipo hata kwenye top 10.kwani uwongo, huo mkoa wote wa Kilimanjaro vya kwetu, na ndio maana unaona watu wenye asili ya pale ndio nguzo la uchumi Tanzania, ndio wamebeba uchumi wenu maana wana vinasaba vyetu.
haaaaaaaa haaaaaaaa ngoja sasa mseveni adai ardhi yake ndo mtaelewa paka kwa jina lingine ni nyau
Sio wivu na wakenya....hatuwaaminithis shows how other countries wana wivu na wakenya...tanzania includedπππππππngoja uone povu
kwani nyie ndo mlishambulia kwa dakika 90? na Al-shabaab mmechukua dakika ngapi?Museveni asikutie wasiwasi maana ni shemeji zetu wale, tumeoana sana kiasi kwamba itakua mwiko hata kunyoosheana vidole.
Kuna kijiwe fulani kinaitwa Migingo, hupenda kutubeep sana pale na hushangaa mbona hatumpigii, ila gumzo la kutaka ardhi yetu naomba iishie tu kuwa soga za mjini au maneno ya kwenye kanga, maana siku atachanganya madawa atajua kwanini Entebbe raid ilichukua dakika 90.
Kwikwikwikwikwi. Wasomali wanawatoa jasho na wanatumia mikuki mtu mwenye Su 30 mtamuweza!1?Museveni asikutie wasiwasi maana ni shemeji zetu wale, tumeoana sana kiasi kwamba itakua mwiko hata kunyoosheana vidole.
Kuna kijiwe fulani kinaitwa Migingo, hupenda kutubeep sana pale na hushangaa mbona hatumpigii, ila gumzo la kutaka ardhi yetu naomba iishie tu kuwa soga za mjini au maneno ya kwenye kanga, maana siku atachanganya madawa atajua kwanini Entebbe raid ilichukua dakika 90.
kwani nyie ndo mlishambulia kwa dakika 90? na Al-shabaab mmechukua dakika ngapi?
Idd Amin alijaribu akashindwa. Na yaonekana wewe huipendi Kenyaq kabisa. Wakenya walikufanyia nini?Kwikwikwikwikwi. Wasomali wanawatoa jasho na wanatumia mikuki mtu mwenye Su 30 mtamuweza!1?
Hili dude rada zenu hazilioni. Sisi TZ tupo na Ground Defence kubwa sana lakini Kenya ni videge vya zamaniii.
Dude hili hapa la Uganda
View attachment 495476
Hahahaha!!! Kwani lazima niwapende wakenya!!?Idd Amin alijaribu akashindwa. Na yaonekana wewe huipendi Kenyaq kabisa. Wakenya walikufanyia nini?