Museveni: Ukileta fujo tunamalizana hapa hapa. Nina bunduki kwenye gari

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Your browser is not able to display this video.

I am now 82 years old. But if you bring fujo here we shall sort it, we can sort it out here. I don't have to to call for help and so on. I have my gun here in the car. Because I am still able to do whatever is necessary. So, looking after your health is very crucial. The rest will be added there. Be careful about your health."

Kwa kiswahili
"Sasa nina miaka 82. Lakini mkileta fujo hapa tutaitatua hapa hapa, tunaweza kuitatua hapa hapa. Sihitaji kuomba msaada na kadhalika. Nina bunduki yangu hapa kwenye gari. Kwa sababu bado nina uwezo wa kufanya lolote linalohitajika. Kwa hiyo, kutunza afya yenu ni muhimu sana. Vitu vingine vitaongezwa huko. Kuweni waangalifu kuhusu afya zenu."
 
Mungu aliwaza mbali sana kuweka KUZEEKA NA KUFA. Na majigambo yake yote, lakini ameshindwa kujirudisha kuwa kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…