#COVID19 Museveni Yoweri Kaguta: Wanasayansi wa Uganda wako Maabara kufanya utafiti wa kutengeneza chanjo ya CORONA

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
Wanasayansi wa Uganda wafanya utafiti wa kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema wanasayansi nchini humo wanajitahidi kufanya utafiti utakaosaidia kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona.

Rais Museveni amesema, wanasayansi kutoka Taasisi ya Utafiti wa Virusi ya Uganda iliyoko mjini Entebbe wanafanya utafiti juu ya virusi hivyo ili kutengeneza chanjo.

Amewashukuru madaktari kwa kufanya juhudi katika kuwatibu wagonjwa 55 walioambukizwa virusi vya Corona nchini humo.

Ameongeza kuwa watu 28 kati yao wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitali, na mpaka sasa hakuna kifo kilichotokana na virusi hivyo nchini humo.
 
Amejitahidi sana huyu mzeeyi wa bazukulu.
 
Sijui Tz wanafanya nn maana hatusikii madaktari kama wanafanya tafiti
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: rr4
Itakuwa chanjo ya mitishamba hiyo!
No kuna Institute of virus research--UVRI. Lakini haina the required expertise and infrastructure to sustain high level virology research. Basics wanafanya sana tena vizuri. I have been there I know the place! They have international collaboration with world-class labs!




Uganda Virus Research Institute


One (1) new case of COVID-19 has been confirmed at Uganda Virus Research Institute on the 19th April 2020.

According to the Ministry of Health, the new case is a 27-year-old Kenyan truck driver who arrived at Malaba border and was among 1,114 truck drivers tested today

Efforts are underway to track him and evacuate him back to Kenya.

The Minister of Health Dr Ruth Aceng says a total of 350 samples from the community were tested for COVID-19 and all were Negative.

The total number of confirmed cases of COVID-19 still remain 55.

Earlier today, 6 patients were discharged from Mulago National Specialised Hospital after testing NEGATIVE twice for COVID-19. The Total number of COVID-19 recoveries in Uganda now stand at 28.

One (1) new case of COVID-19 h
 
Hiyo Raisi Mpumbavu na Adui, badala ya kumtibu Dereva wa gari kutoka Tanzania, ameamua kumrudisha Tanzania. Undugu na ujirani gani huu,
Nasi tutakuwa fanya hivyo siku yetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndiye rais alishutuka mapema, wengine wanasubiri neema ya Mungu kama mvua, kunusuru nchi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…