Pre GE2025 Musiba: Kuna watu CCM hawajakubali Rais Samia kugombea Kiti cha Urais 2025

Pre GE2025 Musiba: Kuna watu CCM hawajakubali Rais Samia kugombea Kiti cha Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Cyprian Musiba akizungumzia uteuzi wa wagombea CCM na ujio wa Tundu Lissu unavyoshawishi watu wa CCM kuhamia CHADEMA.

Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

"Ndani ya CCM kuna watu hawajakubali Rais Samia kuteuliwa kugombea, wachunguze sana hasa 'senior members'. na wasije wakapuuza maneno na tetesi wanazosikia italeta shida mwishoni lakini utaratibu uliofanyika haujakiuka Katiba ya CCM."
 
Mnafki Huyo Awataje Tuone Mbona Anazunguuka Mbuyu
 
Back
Top Bottom