Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Jan 26, 2025 #1 Cyprian Musiba akizungumzia uteuzi wa wagombea CCM na ujio wa Tundu Lissu unavyoshawishi watu wa CCM kuhamia CHADEMA. Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki? "Ndani ya CCM kuna watu hawajakubali Rais Samia kuteuliwa kugombea, wachunguze sana hasa 'senior members'. na wasije wakapuuza maneno na tetesi wanazosikia italeta shida mwishoni lakini utaratibu uliofanyika haujakiuka Katiba ya CCM." Your browser is not able to display this video.
Cyprian Musiba akizungumzia uteuzi wa wagombea CCM na ujio wa Tundu Lissu unavyoshawishi watu wa CCM kuhamia CHADEMA. Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki? "Ndani ya CCM kuna watu hawajakubali Rais Samia kuteuliwa kugombea, wachunguze sana hasa 'senior members'. na wasije wakapuuza maneno na tetesi wanazosikia italeta shida mwishoni lakini utaratibu uliofanyika haujakiuka Katiba ya CCM." Your browser is not able to display this video.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 26, 2025 #2 Mnafki Huyo Awataje Tuone Mbona Anazunguuka Mbuyu
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Jan 26, 2025 #3 MM PIA