GE2025 Musiba: Mchakato wa kuteuwa wagombea CCM wangeachiwa wanachama wamchague wanayemtaka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mchakato wa kuteuwa wagombea CCM wangeachiwa wanachama wamchague wanayemtaka, baada hapo wanachama ndio wawapeleke kamati za chama taifa ambapo watakwenda kuangalia vigezo kwenye kamati kuu baada ya hapo wakamrudisha mgombea wao
 
Samia alijua akishindanishwa lazima angeshindwa ndiyo maana akaamua kujiteua nje ya muda na utaratibu.Anatuharibia sana nchi yetu na itatichukua miaka miambili kuirudisha pazuri ilivyokuwa kabla yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…