Musiba siku hizi husikiki umejichimbia wapi?

Namie nilitaka nianzishe Uzi hapa ili nimuulizie jamani
 
Mkuu hilo zee kama lingekua linakuona lingeomba ulishike mkono kuliongoza sala ya toba alijisahau sana huyu Nguchiro Mzee
 
Jamaa lilikua linaropoka sana ujinga saivi linashinda linalia lia tu yaani bora ajiue tu Aisee kwel Maisha duara
 
Analipia kashfa za zama zake, mali zake zinauzwa hana zaidi ya kulia
 
😄😄mpinzani wake na wewe huonekani kule umeishiwa pumzi huna wakurushiana makombora😄😄
 
maisha yanabadilika kwa kasi sana mkuu..
hii ndio shida ya kuishi kwa kutegemea nguvu ya mtu mwengine yaani akifa na wewe umekufa.. mifano hai SABAYA BASHITE POLEPOLE na wengi tu hawa walitegemea nguvu ya bwanawao MEKO ambae kanyakuliwa na BWANA WA MABWANA... hatayule mmbwa MLAWA aka kigogo cha mpapayo kwa sasahivi mana hana jipya nae ni walewale
 
Musiba ilikuwa haipitiki wiki anapost leo aliowatukana ndio maboss zake lazima awe mpole
 
Misiba iliishia awamu ya tano maana hata korona imeondoka duniani.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…