Chewa91 Member Joined Jul 28, 2020 Posts 9 Reaction score 4 Aug 2, 2020 #1 Nina lengo la kufungua video library yaani kurushia wateja movies pamoja na mziki. Kwa wanao fahamu, series/seasons nitapataje?
Nina lengo la kufungua video library yaani kurushia wateja movies pamoja na mziki. Kwa wanao fahamu, series/seasons nitapataje?
onazi Senior Member Joined Apr 3, 2018 Posts 128 Reaction score 143 Aug 4, 2020 #2 Chewa91 said: Nina lengo la kufungua video library yaani kurushia wateja movies pamoja na mziki. Kwa wanao fahamu, series/seasons nitapataje? Click to expand... Uko mkoa gani?
Chewa91 said: Nina lengo la kufungua video library yaani kurushia wateja movies pamoja na mziki. Kwa wanao fahamu, series/seasons nitapataje? Click to expand... Uko mkoa gani?
Chewa91 Member Joined Jul 28, 2020 Posts 9 Reaction score 4 Aug 8, 2020 Thread starter #3 onazi said: Uko mkoa gani? Click to expand... onazi said: Uko mkoa gani? Click to expand... Niko Shinyanga...
onazi said: Uko mkoa gani? Click to expand... onazi said: Uko mkoa gani? Click to expand... Niko Shinyanga...
Mbeba Lawama JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 1,059 Reaction score 3,504 Dec 3, 2020 #4 Shinyanga kufika Mwanza n 6000 tu ukifka dampo pale kuna ofis kibao wanazouza movie izo kwa jumla season 700 mpka 800 ukiwa na 40000 mpaka 50000 n mtaji mzuri wa kuanzia kwako
Shinyanga kufika Mwanza n 6000 tu ukifka dampo pale kuna ofis kibao wanazouza movie izo kwa jumla season 700 mpka 800 ukiwa na 40000 mpaka 50000 n mtaji mzuri wa kuanzia kwako
ndaga boy mtemi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2018 Posts 588 Reaction score 208 Dec 6, 2020 #5 Ishu ya CD kwa sahv inaelekea mwisho chunga usije ukapoteza pesa zako wekeza kwenye vitu vinavyoendana na wakati
Ishu ya CD kwa sahv inaelekea mwisho chunga usije ukapoteza pesa zako wekeza kwenye vitu vinavyoendana na wakati
Capital G JF-Expert Member Joined Jul 2, 2017 Posts 3,445 Reaction score 5,336 Dec 6, 2020 #6 Mkuu CD zinaenda kupotea, hiyo biashara ukiifanya ki usasa niamini ina pesa sana.
maimonides1 Member Joined Oct 13, 2018 Posts 13 Reaction score 5 Dec 8, 2020 #7 ndaga boy mtemi said: Ishu ya CD kwa sahv inaelekea mwisho chunga usije ukapoteza pesa zako wekeza kwenye vitu vinavyoendana na wakati Click to expand... Kivipi mkuu
ndaga boy mtemi said: Ishu ya CD kwa sahv inaelekea mwisho chunga usije ukapoteza pesa zako wekeza kwenye vitu vinavyoendana na wakati Click to expand... Kivipi mkuu