Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,858
- 3,393
Kwa sisi wa Mkito nafikiri hapo itakua ndo kwao, nilikua niki appreciate sana baadhi ya gari nilizowai kupanda juu ya mkito wa muziki uliokuwa mule, kumbe kuna wengine wame take it further na kuziweka kwenye nyumba zao.Inategemeana unapenda nini kwenye sound. kama ni sorrund sound and cinematic sidhani kama they worth it, binafsi surround sound with quality ndio kitu ninachotaka.
Af pia sorround sound nafikiri kwenye Movies ndo hunoga, hapo ndo kuna Home theatres, ila kwa music sijui.Inategemeana unapenda nini kwenye sound. kama ni sorrund sound and cinematic sidhani kama they worth it, binafsi surround sound with quality ndio kitu ninachotaka.
Hatari sana Mkuu.Hao wakenya bangi nyingi.
Gharama zinawezakuwaje Mkuu.Mimi ninaweza kufunga ndan mzk kama huo au mkubwa zaidi ya huo ni mfuko wako tu bt bongo hakuna bass spka za kueleweka kama kenya.
gharama inategemea unataka bass spika ya ukubwa gn, booster ya uwezo upi bt vinavyohitajika booster angalau ya laki 2, equalizer 120, power supply 50, mid spka 80, twita 20, radio ya gari 100 og copy 50, box za spika inategemea na fundi na unataka za aina gn na zpakwe nini au zfunikwe na ktambaa.Gharama zinawezakuwaje Mkuu.