Inabidi ivumilie tu....mana imependwa hamna namna.Umeona eh! imetulia sana mie naipiga sana kwa siku, kama ingekuwa inaweza kusema ingesema naomba unipumzishe.
Inabidi ivumilie tu....mana imependwa hamna namna.Umeona eh! imetulia sana mie naipiga sana kwa siku, kama ingekuwa inaweza kusema ingesema naomba unipumzishe.
Dah hii video mwishone imenisikitisha.
acha tu.......moyo wa mtu ni kiza kinene.Pole sana, dunia tambara bovu jamaa kajitoa kupambana kwa ajili ya familia yake, lakini mdada kumbe ana yake mambo sijui ni mchepuko? 😛