Hili goma nalipenda acha kabisaaa.....Naona wametoa video kabisa sasa!!
Hii imetuliaa...ngoja niisikilize tena!!
Kitu gani hiko dear?remind me please!!Hivi ile kitu nilikwambia ufanye ulishafanya!?
Mkuu naomba unielekeze namna ya kuziweka hizi videos........hasa kutoka youtube moja kwa moja..........