Ok....I can see you in your beautiful dress dancing to this lovely hit....enjoy Kui
wow...............
wow....
Dah nimepata style hapo.
hahahaa ile niliishia njiani.......Hongera na ile uliyokuwa unaifanyia mazoezi imefikia wapi? πππ
kwakweli...........ila nimejicheka sana kwa kuwaza nilichokiwaza.Wala sina sababu ya kujua inaenda kutumika wapi.