Hii nyimbo bwana [emoji91][emoji91], thanks mkuu kwakuishare.
Daah me na 50 bana, Huyu myu kaka yangu alikuwa anamkubali kinoma ila mm sijui kwann sijawahi kumkubali huyu mtu.
When fiddy was fiddy.
Wana nyimbo yao inaitwa People ipo poa sana.
Daah me na 50 bana, Huyu myu kaka yangu alikuwa anamkubali kinoma ila mm sijui kwann sijawahi kumkubali huyu mtu.
Nenda youtube chukua link ya nyimbo(copy) alafu fanya kui-paste hapa.,ndio kunachofanyika kwenye huu uziSijui mnafanyaje kuweza kupost video hapa najaribu nachemka, nilitaka kutoa heshima zangu kwa KING WA BANKHEAD, RIP SHAWTY LO.
Thanks mkuu.Nenda youtube chukua link ya nyimbo(copy) alafu fanya kui-paste hapa.,ndio kunachofanyika kwenye huu uzi
Sijui mnafanyaje kuweza kupost video hapa najaribu nachemka, nilitaka kutoa heshima zangu kwa KING WA BANKHEAD, RIP SHAWTY LO.