Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,870
- 2,122
embu tuambie maana ya mziki ni nini.....kama sijakusoma hiviproducer alikuwa na studio iliyokamilika sema ameshindana na mwenye studio kutokana na mmiliki wa studio kutojua maana ya muziki (sababu alizozitaja hapo juu)
Music producer anatafuta studio. studio iwe imekamilika kwa vifaa, na mmiliki awe ni mtu anayejua maana ya muziki.. producer amekwisha fanya kazi na wasanii kama vile Alikiba na PNC na wengine wadogo na nyimbo zote alizozifanya bado ni mpya kwa anayehitaji kusikia kazi zake anaweza kuwasiliana naye namba yake ya simu 0764435828 au 0718512630...
wajameni, sasa yeye hizo kazi alifanyia wapi kama hana studio wala vifaa vilivyokamilika?