Music producers wakali kwenye bongo fleva kwa sasa

Nahreel ni sababu nymbo anazotoa znapewa airtime.
Tudd naye producer mzur sn
 
Beat zao wanazozitengeneza kali lkn mpaka sasa hamna beat kali itakayo izidi NIKUSAIDIEJE ya Prof jay na MIKASI ya ngwea, majani alikuwa hatari.
Kwangu greatest of all time kwenye beat ni ta Mika Mwamba aliyompa Inspector Haroon free boat yaani mtito wa geti kali.

Ike ngona ni shida...
 
Tukisema tuweke ushabiki pembeni Tanzania mtengeneza beat iliosukika katika kila idara ambayo hata ukisikiliza kwenye i.e mziki mkubwa, earphones, headphones quality haipotei bado hajawahi kupatikana ili uweze kuinelewa pata reference ya i.e viva forever - spice girls, Team - Iggy Azaelia, Top Back - T.I etc etc
 
You have a point, ila hoja yako ina base kwenye mastering ambayo pia inahusisha sound engineering... Kwa bongo sababu ya gharama ni kama hamna ila binaweza kufanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…