Hivi huyu Villy si ni mkenya? yule aliyetengeneza Bad man ya D knob
P funk the all time producer
kabahatisha single mbili tu,ya ndomo na ya dyna......hatoe nyingine tuoneShedy Clever wajina huyu, anajua sana, si tumeona alivyompaisha Diamond kwa ngoma ya my no 1 hadi jamaa kuwekwa kwenye list ya WALK OF FAME kule hodlwd.