The only next producer after P funk ni Marco Chali.. kwa idadi ya ngoma nyingi alizotengeneza na kali karibia zote
Sio mkenya,jamaa aliepiga chorus ndo mkenya
Ni kweli mkuu kuna kipindi nilozani Lamar ndo atakuwa the next Majani ila nadhani kwa sasa Lamar kapoa sana Marco chali kashika Usukani
P. Funk kwa sasa anaendesha kozi ya Sound Engineering kwa maproducers wengi ila anafanya kwa awamu ambapo kozi uchukua zaidi ya 5 weeks-6, Ada ni Laki 5 na darasa uchukua wanafunzi 6-8 amewapanga kwa awamu ili waelewe vizuri pia ukizingatia darasa lipo kwake, wazo hili aliombwa na maproducers wengi tangia zamani ila kwa sasa P anaifanya. Ikumbukwe jamaa alipata elimu hiyo katika Chuo cha SAE-AMSTERDAM baada ya kumaliza Elimu ya sekondari pale IST. Source. Mdachi aka Dream Big.
Producer kahit na nyimbo 1 mwaka mzima utasema naye mkali?Shedy Clever wajina huyu, anajua sana, si tumeona alivyompaisha Diamond kwa ngoma ya my no 1 hadi jamaa kuwekwa kwenye list ya WALK OF FAME kule hodlwd.
Uko sawa mkuu KGT yule wa G-Records
marehemu Roy wa g.records jamaa alitengeneza ngoma nyingi sana za kina aby skills.Mr blue nyimbo kama gita na nyinginezo
P Funk ndio producer mkali Bongo hii itagharimu muda kupata kipaji kama hiki.....Amekuwa DJ muda kabla hajazama kwenye production.....Dj Khalifan a.k.a P Funk hakunaga kama yeye Tanzania labda maproducer wa kwaya ndio wanaweza kumfunika.....Huyu jamaa akiwa DJ ana uwezo wa kusugua LP hatari tupu...refer nyimbo ya cheza kidogo ya JMO ule mkono huwezi sikia maproducer wa sasa wa hiphop wanajaribu hata robo....
ina mana Mika mwamba mmemsahau Duke,Dazz Saidi comorien toka victanproduction. Bizzman da hatari hao watunakwa sasa Mr t na Messen nomaaaUko sawa sawia mkuu bila kusahau ile ngoma ya Pig Black....nini mnataka mazee
DNO dyuzer montesino music buza cape town tmk dsm dogo ana hatari balaa mkono wake umeshiba kinoma.Wakongwe
1. P-Funk Majani
2.Master Jay
3. Mika Mwamba
4.Complex (R.I.P)
5.Prof Ludigo
6...
7...
Wanaotamba kwa sasa
1. Marco Chali
2. Lamar
3. Hermy B
4. Man Walter
5. Q
6...
7...