atakuja hapa kutafuta producer.umesomea sound engineering au?
umesomea sound engineering au?
Hivi akina Pfunk,Man walter na kina pancho wamesomea sound engeneer? Au Mrema wa precision air amesomea urubani? anyway si lazima nifanye mwenyewe, naamini wapo wataalamu ila hawajajaliwa kupata funds za kuanzisha studio zao
Nafikiria kuanzisha Music recording Studio, wataalamu nisaidieni nahitaji kuwa na vitu/equipments gani kufanikisha hili? Na naweza vipata wapi Dar es salaam hii?
Nafikiria kuanzisha Music recording Studio, wataalamu nisaidieni nahitaji kuwa na vitu/equipments gani kufanikisha hili? Na naweza vipata wapi Dar es salaam hii?