Musichana Murembo kama nini........!

Shikamoo baba!
 
View attachment Samba Mapangala - Marina.mp3

Na nyengine hiyo kaka. Sijui hawa kizazi kipya waliwajibu wale zilipendwa wa Musichana Murembo? Mie huzisikiliza hizi na wanangu hucheka sana wakatikisa vichwa wakiziona hazifai, kisha huniwekea za kwao, mdundo wa computer (kumbuka zimerekodiwa studio) hadi kuta zinatikisika "Ndu, Ndu, Ndududu!" wakisema hizo ndizo nzuri ati muziki umechujwa vema. Nawaambia hata hiyo miziki yao wameigiza ustadi wa wale watu kwa vyombo vyote wakaviweka kwenye computer. But enzi hizo watu walizaliwa na vipaji vya kukung'uta vyombo vya muziki. Haya kaka, burudika ukitaka ingine kama ninayo sema nikushushie.
 

Attachments


We mkali na kuku bali... Ijumaa njema
 
Nice song....
Ni kweli kwamba majivuno mara nyingi hayalipi.Yanafanya watu wakukwepe.
 

You have made my day kwa kweli............. Unajua hizi nyimbo hazichuji bana........... kuna wakati nasikiliza Franco Luambo Luanzo Makiadi au Abeti Masikini, mpaka machozi hunitoka...............................

Siku hizi mtu anaingia studio hata hajui atarekodi wimbo gani, akitengenezewa biti tu anakurupuka...............

Yo yo yo yo.... mimi hapa mtambuzi
Natambua wengi hamjitambui...........
hata mkila tambuu..........
kamwe hamjitambui
Yeah nawakilisha pande za Ukonga aka UK........ mwanangu...........LOL

Ndio wimbo umeisha hivyo.............
 
Digna, hawa waliibilizia bana, nataka ule orijino kabisa.....................

Mhhh, orijino mwenzio sikuwepo, nilizikuta ziko hewani nikaambulia kupata za walioigilizia. Labda wa enzi hizo kama watakuwa nazo zile orijino.
 
 
Last edited by a moderator:
Huu wimbo mbona ni wa zamani (kuna thread umesema ulikuwa una miaka 16 mwaka 1987) ....mwaka gani unaouzungumzia kama "enzi hizo ukimchumbia mama Ngina"
 
Kuna thread humu iliyokuwa inajadili kwanini wanawake warembo wanatembezewa sana lakini hawaolewi.
 
mkuu umegonga ikulu.umemlenga moja kwa moja HUSNINYO.utamfanya alie.mia...mia...mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…