Musichana Murembo kama nini........!

siye bosi wetu ni msichana wa miaka kama 36 and above,na yuko single.... basi kuna kaka akiwa anaandamwa na makazi au kufokewa na huyo bosi utakuta anaweka hicho kigongo kwenye pc yake huwa nacheka kimoymoyo sababu na yeye huwa hacheki huyo kaka kauchuna tu

Ni wimbo mzuri sana na huwa naupenda kuusikiza japo ni dongo sanasana
 
Huu wimbo mbona ni wa zamani (kuna thread umesema ulikuwa una miaka 16 mwaka 1987) ....mwaka gani unaouzungumzia kama "enzi hizo ukimchumbia mama Ngina"

Kaka kwani umri ni kitu gani bana.............ni kweli mwaka 1987 nilikuwa na miaka 16, sasa tatizo liko wapi, kwani sistahili kuupenda wimbo huo Broda...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…