Musicians (wapigaji wa ala zozote za muziki) tukutane hapa

Musicians (wapigaji wa ala zozote za muziki) tukutane hapa

Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
6,602
Reaction score
10,801
Kama wewe ni mwanamuziki au ni mpigaji wa chombo chote cha mziki iwe gitaa, kinanda, saxophone, drums, flute, marimba,tarumbeta, na vingine vingi karibu tupeane uzofu wa masuala yote yahusuyo muziki kwa ujumla wake , vifaa vipya vya muziki , upigaji mzuri, wa kisasa na wakitaaluma,

Karibuni sana.....
 
Mi Ni mpigaji makofi professional
 
Keyboard
Drum kidogo
Guitars acoustic bass solo kiasi rythm kiasi
 
Napenda muziki, Napiga kidogo drums na gitaa.
 
Bass guitar man here.
Ila sio sana.
Af napiga kilokole .sebene za Yesu zilee
 
Nipo hapa,napiga drums kama Travis Barker! Nishawahi kuzirudia drums za Travis Barker za kwenye The dope boys ya The game,na za kwenye yeah you know ya T.I...zikatoka mule mule!! I was a producer in short!! Nishawahi rudia beat ya A thousand miles ya Vanessa Carleton,nishawahi rudia beat ya Ja'rule ft. Lil Wayne- uh ooh,nshawahi rudia beat ya Party like a rockstar...daah!! Na bado nshawahi watengenezea beats watu kibao kitambo hicho zaidi ya wasanii 60!! Daah!! I remember those days "when music was music"...Ila ndo vile tunajulikana na wachache katika uwingi wao,na hatujulikani na wengi katika uchache wao!! Cheers
 
Back
Top Bottom