Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Mi Ni mpigaji makofi professionalKama wewe ni mwanamuziki au ni mpigaji wa chombo chote cha mziki iwe gitaa, kinanda, saxophone, drums, flute, marimba,tarumbeta, na vingine vingi karibu tupeane uzofu wa masuala yote yahusuyo muziki kwa ujumla wake , vifaa vipya vya muziki , upigaji mzuri, wa kisasa na wakitaaluma,
Karibuni sana.....
unatumia key ipi mkuuMimi mpiga ngoma za waganga
Nenda youtube mkuu kila kitu kinawezekana eh mambo ya crotchet semi quever nkNinaomba kufahamu namna rahisi ya kujifunza Nota. Je naweza kujifunza bila mwalimu?
Napenda kupiga gitaa, ila sijui wapi nitapata mtaalam wa kuni'coach hadi niweze kumaster kodi zake? Kama unajua nambie. Gitaa ninalo AcuasticMpiga guitaa ..acuastic guitar
Khaa be serious[emoji23][emoji23][emoji23]Mi Ni mpigaji makofi professional
Upo wap mkuuNapenda kupiga gitaa, ila sijui wapi nitapata mtaalam wa kuni'coach hadi niweze kumaster kodi zake? Kama unajua nambie. Gitaa ninalo Acuastic
Nipo Kigamboni kakaUpo wap mkuu
ckuiz technology imekuwa kubwa unaeza kujifunzia mtandaoni kama mimi nilikua naona tu YouTube afu najifunzaNinaomba kufahamu namna rahisi ya kujifunza Nota. Je naweza kujifunza bila mwalimu?