ThinkPad,
hakika mchukia jua basi limemchwea. sasa vipi na wewe, wameku......... sema kweli.
kama Uislamu ni dini ya waarabu , Vipi Ukristu ni dini ya nani?
Mimi mlokole pia na mimi nina ruhusa ya kusomea hapo?
Ila nisikute faculty ya namna ya kutengeneza mabomu ya kujitoa mhanga!
Nyinyi mnapenda ligi sana kwani ukweli mnauficha na moyoni mnajua sana kuwa, Kwa asili yetu sisi Babu zetu zama na zama walikuwa hawana dini za kigeni leo hii inakuja dini ya waarabu inatenganisha watanzania kama hauamini bakia hivyo hivyo.
hahahaha, hivi hiki nacho ni chuo? hahaha, nadhani kinashika mkiani. bahati mbaya, watakao ingia ni wachache na ni wa dini moja. watakaofundisha pia ni wa dini moja kwasabbu jina tu linaogopesha. naombe pigeni kampeni misikitini ili watu waende kwasababu kitakuwa empty bila wanafunzi au kitafilisika. mtashindwa kukiendesha, na msivyotoaga na sadaka au kuchangia hivyo. duh.
kwasababu ile hospitali wamejenga wao kwa pesa zao. ninyi kile chuo cha morogoro mmepewa na selikali bure. hamna uwezo kujenga chenu. hamna mwamko wa elimu.Nawao pia hao KCMC niwanafiki kwanini waweke jina ambalo litawaogopesha waislam kwenda kutibiwa,
Haifai kufanya hivyo katika vyombo vya public kama shule,maospital ila kama madrasa sawa , kama kanisa sawa.
hii kitu ni mbaya mno inaleta tofauti fulani.