Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Halafu eti chadema imekufa (johnthebaptist . Hawa wanakuja na hawategemei kupata hata maji ya kunywa au vyeo au kulinda biashara za! Wanakuja kwa vile wana IMANI na Chadema na si vinginevyo! Kwangu mimi na hawa unaowaona, Chadema ni Imani kama ilivyo imani yangu ya Ukristo au uislamu au hata upagani!Wakati wao wanalogana ili kugombea vyeo vya Kinana na Chongolo , Chadema Musoma Mjini imekutana na viongozi wao wa Vijiji , Kata na Jimbo kupanga utaratibu wa kuiua ccm kwenye eneo hilo .
Mkakati wa Sasa wa Chadema ni kuchukua wananchi wote na kuibakishia ccm viongozi pekee pamoja polisi , yaani tunachukua watu wote halafu tunakuachia DED , DC , OCD na Mwenyekiti wa Halmashauri , halafu siku mkija kuhutubia mnakutana na Watendaji tu .
Hali ndio hii , Chadema na Wananchi , CCM na viongozi
View attachment 2829238View attachment 2829239View attachment 2829240
Hata Mwokozi Yesu anawapenda zaidi wenye dhambi ili wakombolewe , hatuna shida na wanachadema , maana hao tayari ni wetu , tunataka wa vyama vingine waje kwetuHuko ukumbini zaidi ya nusu ni hao hao CCM,
Asante sanaHuko inajulikana wazi ccm haipo ilishafutwa muda mrefu, chadema wakazane mwanza, geita na simuyu waongeze na tabora watapata kura za kutosha. Wachangamkie na dodoma, singida na tanga watakuwa wameifuta rasmi ccm na kuihifadhi kwenye makumbusho ya taifa na kituo cha historia ya ukombozi wa bara la afrika