Pre GE2025 Musoma: DC Juma Chikoka aendelea na ziara ya "Mguu kwa Mguu" kusikiliza kero za wananchi

Pre GE2025 Musoma: DC Juma Chikoka aendelea na ziara ya "Mguu kwa Mguu" kusikiliza kero za wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Juma Chikoka, ameendelea na ziara zake za "Mguu kwa Mguu", akiahidi kufika kila kijiji na mtaa wilayani humo ili kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi.

Ziara hizi zinajumuisha ukaguzi wa miradi ya maendeleo, ambapo Chikoka ameeleza dhamira yake ya kutembelea vijiji vyote 68 vya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma pamoja na mitaa yote 73 ya Manispaa ya Musoma.

Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesisitiza kuwa lengo lake ni kuhakikisha kila mwananchi anapata nafasi ya kueleza kero zake na kuona maendeleo yakitekelezwa kwa vitendo.
 
Akisifiwa sana mbio, asije akapitiliza kwao
 
Back
Top Bottom