denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Salaa.
Ikumbukwe jimbo hili Mgombea wa Chadema mwaka 2015 alishindwa kwa figisu alizofanyiwa wakati wa majumuisho ya kura, sasa hali inavyoonekana safari hii Chadema wanaenda kulichukua jimbo mapema iwezekanavyo.
Mgombea wa CHADEMA wakati huu ameonekana kukubalika kwa kiasi kikubwa sana, hii inaoneaha jinsi wakazi wa Musoma walivyojilaumu kwa makosa yaliyofanyika 2015 na kuhakikisha mwaka huu hayatarudiwa tena.