Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .

Mungu ibariki Chadema

Mpaka_muda_huu_Jeshi_la_Polisi_limezingira_ofisi_ya_Chadema_Wilaya_ya_Musoma_Mjini_eneo_linalo...jpg
 
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 1923337
Tunaanza kufanya usafi kwa kutumia AK47! Kweli ugaidi upo.
 
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 1923337
Msajili wa bvyama vya siasa upo,wala hutoi neno.Ukisikia wapinzani wanataka kuandamana wakipinga uonevu bila sha utatia neno.Nadhani ni bora ipitishwe sheria na wana ccm bungeni ya kufutwa kwa vyama vya siasa mpaka uchumi wa nchi yetu utakapoboreka maana hao wapinzani wanakwamisha maendeleo!
 
Leo ilikuwa ni siku ya usafi Musoma nzima,...labda walitaka kufanya kongamano muda wa kufanya usafi, just joking!
 
chadema mlichangisha michango ya hili kongamano,

TUNARUDISHIWAJE MICHANGO YETU?AU NDIYE IMETOKA HIYO
Wewe unaye pewa mpaka ela ya bando na shemeji yako umepata wapi pesa ya kuchangia chadema? Au umemuibia dada ako pesa aliyo pewa na shemeji yako?
 
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 1923337
Sijui waliwaza nini kujenga ofisi ya Musoma mjini huko Mkirira!
 
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 1923337
Chadema mnawapa kazi sana wenye mamlaka. Na hapo hamna hata mbubge mmoja.🤣🤣🤣
 
Polisi ni bodegadi wa CCM, Chadema anzeni kuandaa mechi za mpira wa miguu au netiboli ambapo mnaweza mkafanya mkutano au kongamano huku mechi ikiendelea.
Si wanasema chadema iko mitandaoni?? sasa hapo ni makao makuu ya facebook??😅😅
 
Maandamano

Back
Top Bottom