Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Dikteta lijinga linalembua mimacho utafikiri liko ngomaniSamia ni DICTATOR wa kike
Ulitoa mchango kama nani?chadema mlichangisha michango ya hili kongamano,
TUNARUDISHIWAJE MICHANGO YETU?AU NDIYE IMETOKA HIYO
Mm mumeo nitakurudishia jioni tukionana home.chadema mlichangisha michango ya hili kongamano,
TUNARUDISHIWAJE MICHANGO YETU?AU NDIYE IMETOKA HIYO
Tunaanza kufanya usafi kwa kutumia AK47! Kweli ugaidi upo.Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1923337
Msajili wa bvyama vya siasa upo,wala hutoi neno.Ukisikia wapinzani wanataka kuandamana wakipinga uonevu bila sha utatia neno.Nadhani ni bora ipitishwe sheria na wana ccm bungeni ya kufutwa kwa vyama vya siasa mpaka uchumi wa nchi yetu utakapoboreka maana hao wapinzani wanakwamisha maendeleo!Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1923337
Wewe unaye pewa mpaka ela ya bando na shemeji yako umepata wapi pesa ya kuchangia chadema? Au umemuibia dada ako pesa aliyo pewa na shemeji yako?chadema mlichangisha michango ya hili kongamano,
TUNARUDISHIWAJE MICHANGO YETU?AU NDIYE IMETOKA HIYO
Polisi ni bodegadi wa CCM, Chadema anzeni kuandaa mechi za mpira wa miguu au netiboli ambapo mnaweza mkafanya mkutano au kongamano huku mechi ikiendelea.CCM ni waoga mnoo.
Sijui waliwaza nini kujenga ofisi ya Musoma mjini huko Mkirira!Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1923337
Chadema mnawapa kazi sana wenye mamlaka. Na hapo hamna hata mbubge mmoja.🤣🤣🤣Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1923337
Si wanasema chadema iko mitandaoni?? sasa hapo ni makao makuu ya facebook??😅😅Polisi ni bodegadi wa CCM, Chadema anzeni kuandaa mechi za mpira wa miguu au netiboli ambapo mnaweza mkafanya mkutano au kongamano huku mechi ikiendelea.
Chama chenyewe ha hakina hata mbungeCCM ni waoga mnoo.
Si mnasema chadema iko mitandaoni.? Nenda Twitter wakurejeshee Jasho lako🤣🤣chadema mlichangisha michango ya hili kongamano,
TUNARUDISHIWAJE MICHANGO YETU?AU NDIYE IMETOKA HIYO
Kazi wanajipa wenyewe kwa kuzuia mijadala juu ya katiba mpya na kutokana na uonevu waufanyao dhidi yao na pia kwa kukosa weledi kisa kukosa kujiamini kwani wanafahamu wamefikaje hapo walipo.Chadema mnawapa kazi sana wenye mamlaka. Na hapo hamna hata mbubge mmoja.🤣🤣🤣