Musonda na Aziz K washalipa deni la Wanayanga

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Yes Ft Azam 0 Yanga 1 Yanga wametangazwa kuwa mabingwa kombe la Azam rasmi, tukumbuke Azam alifika fainali baada ya kumnyoa Simba chuma 1 chuma kutoka kwa Kijana wa Pale Zimbabwe Ole Dube.

Musonda na Aziz K wamedhibitisha ubora wao Yes Fedha ya kuwasajili ishalipwa kama vile nahisi wao ndio wanaidai Yanga.Wameprove wao ni wachezaji wa kimkakati zaidi.

Chuma ya leo ya Yanga imefungwa na Musonda Kennedy kijana kutoka Zambia mjukuu wa Kalusha Bwalya leo wengi walifahamu yanga wanakufa pale mkwakwani baada ya taarifa rasmi za kukosekana kwa King Mayele na Aziz k ila no Van Mayele no probleme.

Bila Musonda gemu ilikua tough yes kafupisha muda wa mpira ili watu wapate nafasi ya kurudi kwao mapema no extra time no penalty.

Aziz K Yanga wanatoka 1-1 na Simba alipiga chuma cha moto sana almanusura Manula atangaze kustaafu baada ya tukio lile kwan alikiona kifo hiki hapa ni busara za wazee tu zilitumika.

Aziz K huyu huyu mpaka Yanga wanavaa medali za Caf shirikisho ni kazi ya huyu kijana mwamba haswa baada ya goli lake kule Tunis/Tunisia.

Yes wamejipambanua ni wachezaji muhimu sana kwa nyakati muhimu.
 
Hakika Wananchi msimu huu wametisha. Yaani wamebeba kila kitu.
 
Mimi ni mwananchi pasee ila Aziz Ki hapana anaboa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…